Leo wakulaumiwa ni Zizu tu na akiendelea hivi hana muda mrefu pale Bernabeu.
Timu ilianza vizuri japo Benz hakutakiwa kuanza ila alijitahidi. Bado sielewi kwanini alimtaka Kovavic afanye man marking kwa Messi 2nd half! Hii Man marking created a vacuum in the mid ndo ikawapa Barca control ya game ila pia kuanzia kipindi cha pili ilibidi Asensio aingie na Benz atoke.
Zizu kazingua sana, tujiandae kutoka kapa.