Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,154
- 14,114
Kama ninakuona unavyochungulia kwa mbali, endelea kuliaDortmund pigeni hivi vichovu
Mvibane ka vilivyofanywa na Bilbao
Pigisha umeme li fala lingine leo ikiwezekana lilelile
Vipigieni miwa na maheda mtaviweka 2.Pale golini linakaaga pazia tu.Pigeni matobo sana
Pigeni hata makrosi eneo lao yatajiweka tu ni mabingwa ya kujiweka
Pigeni kbs yazidi kuchanganyikiwa hadi yule mwenye kipala kitoe moshi
Tunamuhitaji De gea hata kwa pesa zaidi ya NeymarVarane Leo amekuwa golikipa loo, nikama amechomoa mbili, Navas alishakubali kabisa, ila kijana akajitokeza kuokoa Jahazi
Ila hii team yetu karibia vijana wote viwango vyao vimeshuka, yaani Vasquez haonekani kabisa., kama fagio likipita ninaona huyu kijana akitembea kwa kweli,
Mkuu nipo kwenye vibanda umiza, ila kwenye CR7.net huwezi kosa hii gameLink tafadhari mkuu
Acha tu Mkuu, tuna Obwe kubwa sana kwenye upande wa mlinda lango, sielewi Navas ni sababu ametoka majeruhi ama ndio vile analekea ukingoni.,, ngoja tuone dirisha dogo Management itafanya nin!!Tunamuhitaji De gea hata kwa pesa zaidi ya Neymar
Ni kama hayupo hiv, na anabahati Varane alikuwa anayafukia, sasa sijui itakuwajeramos anaacha magap sana huko nyuma