Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Samahani wakuu naomba mwenye link imara isiyokwamakwama anigawiwe niangalie mpira huu kwa raha. Link hii ninayotumia sasa inayumba sana na kuninyima raha: Genti.Stream
 
Real Madrid NOT given penalties, in other word sky is blue. [@Ahmed_Aboqura]

DO8QeKBVoAAqHlo.jpg

DO8QeKFUMAAy7bC.jpg
 
HT:mpira umechangamka kweli kwel kila timu ikitaka kufunga kabla ya mwenzake,tumeweza kumiliki mpira mara nyingi sana kuliko wao na tumefika kwao mara nyingi zaidi japokuwa hatujatendea haki pasi zilizopigwa,timu imecheza vyema...nafikiri tutumie kupiga pasi za haraka haraka zakaribu huku tukifungua kwa haraka...goli zipo nyingi sana
 
Hawa Atletico wanajilinda sana hadi counter zao zinakuwa dhaifu sababu ya kukaa wengi sana nyuma. Wakuu msiache kuminya lolote linaweza wapata.
 
HT:mpira umechangamka kweli kwel kila timu ikitaka kufunga kabla ya mwenzake,tumeweza kumiliki mpira mara nyingi sana kuliko wao na tumefika kwao mara nyingi zaidi japokuwa hatujatendea haki pasi zilizopigwa,timu imecheza vyema...nafikiri tutumie kupiga pasi za haraka haraka zakaribu huku tukifungua kwa haraka...goli zipo nyingi sana

An intense first half Tall, I'm sure we're going to win this game.
 
Back
Top Bottom