Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,359
Ninaona Marca wametabiri vyema, sasa ngoja tuone kazi kutoka kwa vijana wetu., [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!
Vijana wetu bado wamelala, ishu ya kutengeneza nafasi za kufunga ninaona kama linataka kuwa aibu sasa, hope mambo yatabadilika.,Need to sharpen up things now. Not creating enough chances at the moment.
Vijana wetu bado wamelala, ishu ya kutengeneza nafasi za kufunga ninaona kama linataka kuwa aibu sasa, hope mambo yatabadilika.,
Na ndio tunapoelekea sasa, sababu Bado sioni tukiwafunga kwa hiz dk zilizobaki,Fuenlabrada ndio walivyotaka hivi, wakomae first half an hour, then 45 minutes. Kipindi cha pili 0-0 Real Madrid watakuwa frustrated
Na ndio tunapoelekea sasa, sababu Bado sioni tukiwafunga kwa hiz dk zilizobaki,
Confidence yao inaongezeka kadri muda unaposogea, ikifika dk ya 70 bila kuwafunga hii game itatuwia ngum sana.,Second half, we need to create more chances. Fuenlabrada playing well defensively and also with the ball