Sub ya Isco na Lucas sijawahi kuielewa.
Yeah..hakukuwa na sababu yoyote ya kumtoa.Isco ndio alikuwa game yote.
Kwa hiyo Marcelo leo ni left wing?Theo and Marcelo are now playing together.
Kwa hiyo Marcelo leo ni left wing?
Good passing!! Hivi ndivyo ilipaswa iwe tangu mwanzo
Ronaldo anapania sana zingine ilipaswa kupiga kwa kuchungulia.