hauja vuka mto usitukane mambaWakuu nasikia mmeshinda kwa mbinde dhidi ya Getafe.
Sasa kama mamba ana mdomo mkubwa tusiseme kisa hatujavuka mto🙂hauja vuka mto usitukane mamba
Wakuu nasikia mmeshinda kwa mbinde dhidi ya Getafe.
Walikaza sana siku ile. Ilikuwa 2-1. Mwaka huu havitaki uteja.We mwenyewe ulichukua points kwa mbinde pale, vijamaa vinajua kuwakaba mafoward wenye majina.
Bora ushindi mengine mbele kwa mbele
Walikaza sana siku ile. Ilikuwa 2-1. Mwaka huu havitaki uteja.