Kelele za chura hizi. Mwaka jana mlichongaa mkaishia kunyamazishwa kwa back to back ambayo haitokuja kutokea kwenu daima.UEFA ipi?? ..huu ni msimu wa njaa kwenu aisee
Cr7 mpira umeanza kwisha. .bale naye hamna kitu kwa sasa ...Messi ana goli zake tatu apo Santiago
Karibuni sana visebengo msikimbie tu maana huwa hamkawii kujificha.Madriddogs Leo yanakufa
Kudadeq kichwa kama katumia mguu....ni goli la uzembe wa beki line zilizokuwepo eneo lile...
Kudadeq kichwa kama katumia mguu....ni goli la uzembe wa beki line zilizokuwepo eneo lile...