Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kosa kubwa walilofanya Real Madrid ni kutotafuta replacement ya James na Morata msimu uliopita hawa jamaa walifunga jumla ya magoli 30 na ni wachezaji wazoefu tofauti na kina Asensio na Vasquez.Pia Zidane atajuta kuendelea kumbakisha Benzema badala ya Morata
 

Wala hilo sio tatizo. Tulikuwa nao na bado tukatoa sare mechi 4 mfululizo mwaka jana mwezi kama huu. Kuna kipindi tu mambo yanagoma.
 
Bar the result, it was a special day for our top midfielders. Modric turned 32, while Kroos played his 100th liga game.



 
Wala hilo sio tatizo. Tulikuwa nao na bado tukatoa sare mechi 4 mfululizo mwaka jana mwezi kama huu. Kuna kipindi tu mambo yanagoma.
Last season James & Morata walianza game chache game mlizotoka droo still walikuwa wanaanza BBC, msimu huu unaanza CR7 kafungiwa mechi 5 na Benzema tayari majeruhi huu ulikuwa wakati wa wachezaji kama Morata/James/Replacement wao kuanza.Nani ata-replace hayo magoli 30 waliyofunga msimu uliopita ?
 

Tumecheza na Man United, Barca x 2, ns tumefunga bila wasi. Mechi 71 sasa mfululizo, with and without BBC or James & Morata. Timu inajiweza, ila kuna siku tu mambo yanagoma.

Ilikuwa sawa kuwauza Morata na James. Haikuwa sawa kumbakiza Bale.
 
I still love the style of play. It was our game but the finishing was just a bit poor. Hakuna noma bado tutasema nao tu
 
Mourinho kataka kuwasaidia ku offload hilo garasa Bale,mmekataa-now you are paying the price


We mama afadhari umekuja kuchangia huku leo, maana ulijipiga ban kwa muda mrefu sana.
 
Mahaba yetu kwa Madrid yasitufanye kutoiona fact ya kwamba tunakosa huduma za Morata na James,japo walikua wanakaa benchi lakini walitupa 30 goals,katika kipindi hichi ambacho Benzema kaumia,CR ana kadi na Bale haeleweki wangetusaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…