Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Man, tulivyoanza haikuwa easy maana threads zetu kama hizi zaidi ya tano zilitiwa kapuni au kuunganishwa na ile ya Kikwete kuwaleta Real Madrid Bongo. Kuna mashabiki wa clubs nyingine wakatuvunja moyo kwanini tuanzishe thread ambayo haina wachangiaji kwasababu watu wote macho yao ni EPL. We keep proving them wrong, Real Madrid iko na Fanbase kubwa sana duniani [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Training today. Varane back, and training with the group.
Is Varane okay? I heard his participation against Valencia is in doubt. As Ramos and Vallejo are already out what will be the other option?
It appears Varane won't make it. His fitness is doubtful. Casemiro/Llorente might step in. Remember the last clasico at the Bernabeu we had Kovacic as a CB alternating with Toni, when Ramos got sent off? And we didn't do bad.
Game saa ngapi wakuu
Ni saa tano na robo kwa EA.Game saa 4 na robo, lakini kwa Afrika ya mashariki itakuwa tayari saa 6 usiku.
Ni saa tano na robo kwa EA.
Especially Benzema..mzitooBado tuna tatizo na hawa vijana wawili, sioni wakibadilka hata kidogo, sielewi ni kwamba wamefika mwisho ama bado wapo pre season? kwenye kiungo tupo vizur sana kwa kweli.