Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kwa Karim mimi nitamtetea kidogo, anafanya kazi kubwa ambayo wengi huwa hatuioni tatizo tunawaza kwa vile yeye ni namba tisa afunge ndipo tuuone mchango wake.
Ila kuna kazi huwa anaifanya kurudi kukaba mbaka kwenye box ambapo kwa zile namba tisa kama namba tisa ni adimu kufanya hivyo. Morata naye alikuwa na uwezo huo, sasa kama Morata kaondoka sioni namba tisa ya kurudi hivyo.
Game inavyochezwa nahua wengi huwa na kimuhe muhe ila ukiweza kuangalia marudio ndipo utagundua kumbe Karim kuna vitu huwa anasaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee unataka kugombana na wenye timu unamtetea Benzema....sasa hivi utaanza kuitwa "fanboy"
 
Mzee unataka kugombana na wenye timu unamtetea Benzema....sasa hivi utaanza kuitwa "fanboy"
Siyo kwamba namtetea hata mimi nilikuwa simpendi toka Gonzalo hajauzwa Napoli nilimind kwanini auzwe Gonzalo Karim abaki, sijawahi kumkubali Karim.
Timu ndiyo imeshatengenezwa hivyo kwa sasa kwamba kila mtu akabe inapobidi na namba tisa hatagemewi kutupia tu kila mmoja anaweza kufunga.
Nadhani hilo liliiuja baada ya namba tisa kuonekana anategemea kulishwa tu pia anashidwa kumkaba mtu wake timu inaposhambuliwa.
Ndiyo maana nikaeema kila mchezaji anamapungufu yake mfano tu CR7 siyo mkabaji.
Au Mwangalie Lucas V. Yeye nimkabaji sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
8460749aa8dd5a9b7a482f56d0ac583d.jpg

Modric bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LALIGA NDIO INACHO BOA SASA MADRID NA BACA NDIO TIMU PEKEE HAKUNA TIMU PINZANI YOYOTE DUUH
LIGI BOVU ILI

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli ni ligi mbovu ndio maana hata UEFA wanacheza na vibonde tu
Na ndio maana aliwafunga vibonde wa EPL
Wewe ligi unayoishabikia ni timu gani ina vikombe zaidi ya Real?
Nina uhakika hata ukijumlisha Vikombe vyote vya UEFA kwenye ligi unayoshabikia bado havifiki 12
 
Liverpool - 5
Man united - 3
Chelsea - 1
Aston Villa - 1
N.Forrest - 2
Jumla= 12
Real Madrid = 12
Real Madrid amechukua ubingwa Sawa na timu zote za uingereza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ni ligi mbovu ndio maana hata UEFA wanacheza na vibonde tu
Na ndio maana aliwafunga vibonde wa EPL
Wewe ligi unayoishabikia ni timu gani ina vikombe zaidi ya Real?
Nina uhakika hata ukijumlisha Vikombe vyote vya UEFA kwenye ligi unayoshabikia bado havifiki 12

Imepenya hiyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zizou's Pre-Match Presser:

"We're in good shape fitness-wise and there are players like Cristiano Ronaldo who are going to start the game and play the full 90 minutes."

"We want the trophy to remain here and we're aiming to put in a good performance".

"Let's hope that we continue on in the same vein we started . We've made a really good start but we're aware that it's a long old season."

"The LaLiga campaign has only started and there are 38 matchdays in total and it'll require a massive effort. We're happy with how we're performing."

"We want to continue in the same vein, particularly in terms of the way that we're playing. If we can continue to play well then we'll be happy".

21077492_1700828873275199_3239183825621890501_n.jpg
 
L'Equipe | Even though Karim has been acquitted in the Valbuena case, he won't be called for the 9th consecutive time.

MARCA | Even when Deschamps is without Mbappe & Dembele, he still won't call up Benzema.

20954108_1701079726583447_2773475088760238290_n.jpg
 
Back
Top Bottom