Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

The performance of the team was amazing against D. Coruna, although we have room to improve as we all know it is just the start of the league campaign for Zidane. For now we have to take team by team, remember for us Madrid there is no small team or big team, we conquer them all...!
 
DHtQ0__W0AEuhdp.jpg

DHtQ1AFW0AAhTKu.jpg

DHtQ0__XYAEa9aw.jpg

DHtQ1ABXgAIGrfr.jpg

DHtQx-kXoAEacP8.jpg

DHtQx-uXoAAmi41.jpg

DHtQx-mXgAILOZR.jpg

DHtQx-qXUAM46ny.jpg
 
Captain inabidi ache bangi hata njano ya mwanzo ilistahili nyekundu moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda huwa simwelewi kabisa huyu jamaa, yaani ni kama homa ya vipindi, hasomeki hata kidogo, wakati wowote anaweza kuwachoma, sasa sielewi kuna wakati anaachaga akili zake home au laa!!
 
Benzema uvivu na kiburi. Bale kafika mwisho, angeuzwa tu.
Kiburi cha Benzema kinatokana na kukosa tu wa kumkalisha bench kwnye nafasi anayocheza, so anarelax sababu anajua hakuna wa kuchukua nafasi yake, na sioni Zidane akisajili CF msimu huu, so tutegemee huu uchezaji wake mpaka mwisho wa msimu.
Kwa Bale ni kweli jamaa amefika mwisho tayari, sioni aki ongezeka kiwango zaid ya hapo, bahati mbaya Perez hana mpango wa kumtoa kwasasa.
 
Forward line inahitaji boost kila siku nasema. Yule dogo Mayoral hana kazi ya kufanya pale anajaza nafasi kwenye bench tu bora aende Getafe ndio saizi yake
 
Kuna muda huwa simwelewi kabisa huyu jamaa, yaani ni kama homa ya vipindi, hasomeki hata kidogo, wakati wowote anaweza kuwachoma, sasa sielewi kuna wakati anaachaga akili zake home au laa!!
Mambo ya faru dume na sifa united uwanja wa kinesi au enzi zile za boom fc na ashanti ubabe mwingi na undava aache palikuwa hapana sababu ya kumvaa jamaa kivile atakuja kutugharimu sana wakati muafaka
 
Real Madrid loan Abner to Estoril
15032438867215.jpg

Castilla left-back Abner has been loaned to Estoril, where he will play until the end of the season.

The Brazilian, signed with a view to put pressure on Marcelo and eventually succeed his countryman, will enjoy his first experience of a European league, hoping to return to Real Madrid in due course.

He joined La Fabrica three years ago but two serious knee injuries at the start of his first two seasons stalled his trajectory.

Season 16/17 was the campaign in which he played most; 21 games and 11 as a starter, but without the regularity necessary to recover his best level.

Kiburi cha Benzema kinatokana na kukosa tu wa kumkalisha bench kwnye nafasi anayocheza, so anarelax sababu anajua hakuna wa kuchukua nafasi yake, na sioni Zidane akisajili CF msimu huu, so tutegemee huu uchezaji wake mpaka mwisho wa msimu.
Kwa Bale ni kweli jamaa amefika mwisho tayari, sioni aki ongezeka kiwango zaid ya hapo, bahati mbaya Perez hana mpango wa kumtoa kwasasa.
Kwa Karim mimi nitamtetea kidogo, anafanya kazi kubwa ambayo wengi huwa hatuioni tatizo tunawaza kwa vile yeye ni namba tisa afunge ndipo tuuone mchango wake.
Ila kuna kazi huwa anaifanya kurudi kukaba mbaka kwenye box ambapo kwa zile namba tisa kama namba tisa ni adimu kufanya hivyo. Morata naye alikuwa na uwezo huo, sasa kama Morata kaondoka sioni namba tisa ya kurudi hivyo.
Game inavyochezwa nahua wengi huwa na kimuhe muhe ila ukiweza kuangalia marudio ndipo utagundua kumbe Karim kuna vitu huwa anasaidia.

umeongea point tupu Benz ana fanya kazi kubwa sana ku drive mipira hasa kwenye box na kuwapunguza mabeki kitu kingine ana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira angalieni goli alilo funga Ton Kross kazi kubwa ilifanywa na Benz.
 
Mambo ya faru dume na sifa united uwanja wa kinesi au enzi zile za boom fc na ashanti ubabe mwingi na undava aache palikuwa hapana sababu ya kumvaa jamaa kivile atakuja kutugharimu sana wakati muafaka
Yule ndio zake, anaweza akawaliza muda wowote, utadhani kuwa kuna wakati anasahau akili zake home! Kuna kadi huwa ninazielewa mfano za Casemiro hua zinakuwa za technical zaidi kuliko za Captain wetu.
 
Kwa Karim mimi nitamtetea kidogo, anafanya kazi kubwa ambayo wengi huwa hatuioni tatizo tunawaza kwa vile yeye ni namba tisa afunge ndipo tuuone mchango wake.
Ila kuna kazi huwa anaifanya kurudi kukaba mbaka kwenye box ambapo kwa zile namba tisa kama namba tisa ni adimu kufanya hivyo. Morata naye alikuwa na uwezo huo, sasa kama Morata kaondoka sioni namba tisa ya kurudi hivyo.
Game inavyochezwa nahua wengi huwa na kimuhe muhe ila ukiweza kuangalia marudio ndipo utagundua kumbe Karim kuna vitu huwa anasaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba Benzema hana mchango kwenye team, ishu ya Benz ni kurelax, ana hiyo mambo sana, mataani tunasema anacheza sana kifather, nikimaanisha hana njaa na magoli, sasa kama CF wako hana njaa na ushindi ujue una tatizo, hatakiwi kumwachia CR7 hiyo kazi, yeye afanye majukum yake ya no. 9, kama ana vitu vingine anasaidia kwenye team sio mbaya ni vizur pia, ila anatakiwa atuhakikishie zaidi ya goli 20/season.
 
Real imejengwa icheze kitimu zaid siyo kumtegemea namba tisa kutupia ndiyo maana ukiangalia karibia kila mchezaji pale anatupia, hiyo kuepukana na kumtegemea sana namba tisa siku hayuko vizuri anakosa magoli kila akitengewa timu itakosa ushindi.
Ukiagalia kama goli la Kroos alilotengewa na Bale juzi ni kitu wanachofanyia mazoezi kila siku na kila mchezaji anatengewa na Zizou nje ya 18 apige, hiyo ikimaanisha kwamba yoyote itakayomkuta nafasi hiyo awe na uwezo wa kufunga.
Sikatai kama mchezaji Karim anamapungufu yake kama wengine, hata hao viuongo wetu tunao waona bora huwa kuna muda wanakabia macho mbaka huwa nakasirika lakini tunawavumilia.
Captain naye mipira mirefu ikipitishwa tu majanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom