Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Watakufa hivyo hivyo maana naona njama zao kubwa na kocha naye wanataka wamfungie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo njama zao wanazotufanyia kamwe hazitofanikiwa,maana marefa wamekuwa wakitunyonga sana Madrid,lakini watakaa tyu leo hao wazee wa catalonia. # Hala Madrid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fainals: Barcelona vs Real madrid
2011 Copa Del Rey Real madrid Win
2011 Super Cup Barcelona Win
2012 Super Cup Real madrid Win
2014 Copa Del Rey Real madrid Win
2017 Super Cup Barcelona or Real madrid???
 
Zidane naona alielewa kazi ya kijana kova baada ya kumficha messi mfukoni
 
Zidane naona alielewa kazi ya kijana kova baada ya kumficha messi mfukoni
Kovacic anaupiga mwingi sana kwa kweli, anaweza akatembea na kijiji. Uwezo wake umempa nafasi nyingine tena Leo, japokuwa Leo anacheza chini kidogo na ilivyokuwa game iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…