Yeah!we're back again....baada ya kipindi cha fungate sasa tumerudi kujenga familia....ni usiku muhimu sana kwetu kwa maana ya kimashindano na kiakili...kama kawaida huwa tuna roho mbaya sana tukiona kombe mbele yetu...na hii leo dakika tisini tunampa mtu zake zakutosha....
Sent using
Jamii Forums mobile app