Pana shabiki mmoja wa juventus baada ya lile goli la tatu akawa kama kaingiwa na ubaridi flan hivi na alikuwa anavuta swaalet sasa kabung 'aa hivi huku ile sigara kaikamata vidoleni ikawa inaendelea kuisha mpaka akatokea shabiki mwenzie nyuma na kumwambia "utaunguzwa na sigara hiyo "ndio akastuka.