Naona [HASHTAG]#BARCA[/HASHTAG] mpo kwenye TEMPER Fulani...kama nyie ndo mnakipiga na Juve...MSIJALI NGOJEENI TUFANYE REVENGE LEO SAA.3:45-USIKU DHIDI YA UKATILI MLIOFANYIWA NA JUVE...Haiwezekani Club kubwa kama BARCA izalilishwe kiasi kile...ndio maana Neymar alilia ile Siku kwa kuwa ule ulikuwa NI UNYANYASAJI WA KITIMU And They w'll pay...Kikubwa ni [HASHTAG]#Support[/HASHTAG] tu Mkuu maana ata nyie mpo Spain Sasa iwaje Trophy iende Italy tena???...Acheni Unazi give your support to [HASHTAG]#UsRealMadrid[/HASHTAG].