Wrong bro. Real Madrid inaingia kama favorites. Wengi wanajaribu kujipa matumaini cos wanafikiria gap la mafanikio tutakaloacha tukibeba hiyo ndoo. Juve wako vizuri na wanaweza kushinda, ila game iko kwetu kushinda au kupoteza.
Huo uzi hauna shida Mkuu, upo poa kabisa, kwanza tukivaa huo uzi vijana huwa wanatakata sana!! ninatarajia mkubwa Leo!! [HASHTAG]#Aporla12[/HASHTAG]!! #HalaMadrid¡¡
Salama kabisa Mkuu, karibu tena man, baada ya wale ndugu zako wote uliokuwa unawashangilia watufunge tumeshamalizana nao, na Leo tunaye huyu wa Mwisho, karibu sana ushuhudie mpambano!!
Huyo jamaa anashikilia rekodi ya kuchukua huo ubingwa na vilabu tofautitofauti,alichukua na Ajax,alichukua na Madrid,alichukua na AC Milan!Alichukua pia na Arsenal!Sentensi ya mwisho ni utani.
tena nasikia wewe umepata hadi homa. pole mkuu maana Marcelo hawezi panda sababu ya Alves. mmeshafungwa kabla ya mechi. leo ''mashabiki'' wa Juve ni mwendo mdundo.