na hivi kocha wa Malaga José Miguel González alikuwa mchezaji wa Madrid nadhani atapenda zaidi team yake ya zamani ikichukua ubingwa.............................nadhani atacheza fair game😀😀😀😀😀😀😀

Historia kwa msimu wa 2015/16 na 2016/17 malaga imedraw mara 2 na imefungwa mara 2 yaani haijawahi kushinda mbele ya Real Madrid.Na sis tudraw au kudhinda tu,so nafas kubwa kwa ndoo kubebwa na Real Madrid..over