Ishu kubwa iliyotokea kwa James, hata kwa Isco, ni kwamba mfumo wetu hauwasupport, japokuwa Isco kwa sasa ame adapt kimtindo, ishu ni kwamba hawa vijana ni typical no 10, hiyo ndio nafasi wanayoweza kuitendea haki zaidi, ila sasa anajikuta anapewa majukum ya kupandisha mashambulizi kutoka dimba la kati pamoja na kukaba, kitu ambacho James huwezi ku offer, madhara yake ndio hayo inabid asugue bench, sasa hiyo inamfanya kuwa mnyonge na kuona kama hana umuhimu kwenye team, na Dogo anaonyesha ni mtu wa kupanic sana, so ngoja tu asepe, Bado tuna vijana wakali tu.