Sasa basi tuonane huko Cardiff akanyolewe mtu!! nimependa tu utulivu wa wachezaji wetu!! walitulia hata baada ya kufungwa., raha sana ukijua unachokitafuta!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!
Afadhali wameingia fainali tu, huko watapata muda mwingi wa kujipanga dhidi ya juventus. Pia nadhani kocha simeone ajifunze kutulia makelele yake mwanzo hadi mwisho hamna lolote
Kazi nzuri sana kutoka kwa Modric, Navas, Isco na Marcelo, team ilipokata tamaa, wao bado walisimama!! Ngoja tukamilizane sasa na hawa vijana wa La liga, then tutaweka Mipango ya jinsi ya kumtoboa bibi Kizee
Sasa basi tuonane huko Cardiff akanyolewe mtu!! nimependa tu utulivu wa wachezaji wetu!! walitulia hata baada ya kufungwa., raha sana ukijua unachokitafuta!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!