Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Dakika 4 za majeruhi
tumefanya mechi iwe ngumu wenyewe, tumejichosha kshenz, yaan nilivo kereka hapa najielewa mwenyewe tu.Aisee leo hatukucheza kwa umakini kabisaa
Hii game ilikuwa yakulala mapema kabisa...siyo yakutupeleka dakika za ziada.....tumefanya mechi iwe ngumu wenyewe, tumejichosha kshenz, yaan nilivo kereka hapa najielewa mwenyewe tu.