Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Imekuwa kawaida siku hiz kuanza game kwa tempo ya chini,7 minutes into the game and Real Madrid under pressure
Imekuwa kawaida siku hiz kuanza game kwa tempo ya chini,7 minutes into the game and Real Madrid under pressure
Hii offside sijaielewa kwa kweli!! Ila Dani duu ameshindwa nin kumaliza pale?
Casemiro itabid awe makini sana, hawa Bilbao kwa fitina hawajambo
Benzema saa nyingine hua anakera sana, mpira wa kumalizia na kichwa, yeye anataka kutuliza. Tunatakiwa tumalize hii game mapemaClever play between Ronaldo and Marcelo after Benzema's long pass, Benzema had to use his head over there Geez!
Raul Garcia amewaambukiza wenzake ugonjwa mbaya sana, wao badala kucheza mpira, wanataka kushinda kwa fitina!!Bilbao are not playing fair game at all.