Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

was quite a nasty challenge.

16807161_1506304019394353_4865684701287823527_n.jpg
 
Asante mkuu Caspar, ngoja nijongee kuwahi kipindi cha pili.
 
Hata ka goli ka moja hakatoshi kabisa, zinahitajika jitihada za ziada kuongeza goli la pili, sababu hawa watu Leo siwaelewi
 
Marcelo ON for Nacho. Nacho Leo hakuwa na siku nzuri sana haswa kwenye upande wa kushambulia, ngoja tuone Marcelo ameleta Mpya gani!!
 
Back
Top Bottom