Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

I know it is very hard for you, lakini tunakushukuru sana kwa kukesha kusubiri matokeo.
Napoli hana atakalolifanya scnd leg labda tuwe na off-list hii ya majeruhi modric,kroos,Marcelo, ronaldo na bale
I'm sure bale nxt leg is in imagine hiyo list iwe fit ni muendelezo wa dozi tu
 
mtapachimba na forward gani? eti katika huu mwaka jana Ronaldo ndiyo kacheza vizuri! Napoli forward zao zinafunga balaa.
tumefikaje apo bila forward, tume ongoza vp Laliga bila forward acha maneno weka mziki
 
They measure themselves up against us for perfection, we measure ourselves up against us for perfection. That's the difference between Real Madrid and the rest.
 
Kwani Jana zimefunga mangapi?
jana kafunga Insigne tu labda sababu ya ugenini. lakini mertens, Callejon na Hamsik wote hufunga, Napoli ndiyo wanaongoza kwa kufunga goli nyingi kwenye serie A. stadio san paolo moto utawaka.
 
COPE: Ramos has a bruised right hip & the pain will likely cause him to miss the weekend's game vs Espanyol.
 
jana kafunga Insigne tu labda sababu ya ugenini. lakini mertens, Callejon na Hamsik wote hufunga, Napoli ndiyo wanaongoza kwa kufunga goli nyingi kwenye serie A. stadio san paolo moto utawaka.
Naona una-fustration za kutolewa UEFA maana uko bize kuomba dua la kuku lisilompata mwewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…