Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Danilo killed my mood.
Hahaha!! ninafuu ukaweka hata nguzo inaweza kuzuia kuliko Danilo!!, Jamaa hua kila siku ana bahati mbaya., sijui ana shida gani huyu mtu.
Yaani yeye ni wa kuwasaidia wapinzani kila siku? Anatuchosha sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…