Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #25,261
Next La Liga Game: Sunday 29 (20:45H) - Santiago Bernabéu - Real Madrid vs Real Sociedad [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Na mkichomoka hapo mkatambikieUpcoming matches:
- 29/1 [H] Sociedad
- 5/2 [A] Celta
- 11/2 [A] Osasuna
- 15/2 [H] Napoli
- 18/2 [H] Espanyol
- 22/2 [A] Valencia
- 26/2 [A] Villarreal
Jaman hali yetu kwenye hizi mechi nne zimekuwa siyo poa
Japo naona na majeruhi yana tuandama kiaina.
Ki ukweli nimeskitishwa sana but ngoja tuone itakuwaje
Kutesa kwa zamu..komaa uchukue laliga bana mtani![]()
![]()
![]()
![]()
Zamu yako kufurahi
Nipo lakin si sana
Taratibu Mkuu, umesema?Zidane siku hizi Ana matatizo ! Muda mfupi ataondolewa kama ancellot
Pumzika pumzika kaka, hata jua linazunguka dunia. Kuna asubuhi, mchana, alasiri, jioni na usiku.Duu!! nimechoka sanaa,
Aha ha ha ha ha kwahiyo Mkuu Celta ndo Tom sio?Celta wakiwa golini wanaburudisha sana
![]()
Naona kabisa nafasi ya pili kama sio ya tatu inavyowaita kwa kasi.Upcoming matches:
- 29/1 [H] Sociedad
- 5/2 [A] Celta
- 11/2 [A] Osasuna
- 15/2 [H] Napoli
- 18/2 [H] Espanyol
- 22/2 [A] Valencia
- 26/2 [A] Villarreal
Itakuweje kivipi wakati matokeo ndo haya yashaanza kujionesha, kombe moja lishapotea.Jaman hali yetu kwenye hizi mechi nne zimekuwa siyo poa
Japo naona na majeruhi yana tuandama kiaina.
Ki ukweli nimeskitishwa sana but ngoja tuone itakuwaje
Thubutuuuu, umeona hiyo fixture yao? Hapo lazima ateremke mtu kutoka juu.Kutesa kwa zamu..komaa uchukue laliga bana mtani
Na team ikishafungwa ku stabilise inachukua muda kidogoThubutuuuu, umeona hiyo fixture yao? Hapo lazima ateremke mtu kutoka juu.
Mkuu mimi ni shabiki kindakindaki sana wa Barca,ila natoa rai ubovu wa match 4 hz mlizocheza usitumike kufanya wrong judgement ya u coacher wa Zidane he is still a good coach for me sema kuna kitu kimewaharibiane hamna kikosi kikubwa,sisi wenzenu tuna rotation ya nguvu labda Messi na Suarez ,Neyma kwa mbali...ndi hawapigi rotation ya kupumzishwa huku hadi president Pique anapumzishwaga kwa ajili ya concentration kidogo (long term plans)Asee kiukweli tupo hovyo sana, haya matokeo yameniharibia siku kabisa.
Team ni royal a.k.a ya mfalme and still you dont care to win kikombe cha mfalme disgustingUpcoming matches:
- 29/1 [H] Sociedad
- 5/2 [A] Celta
- 11/2 [A] Osasuna
- 15/2 [H] Napoli
- 18/2 [H] Espanyol
- 22/2 [A] Valencia
- 26/2 [A] Villarreal