Mpaka sasa ndio MOTM, jamaa amewapoteza pale kati sio kawaida, sasa tunatakiwa tutumie hiyo advantage ya kuwashika kati atengeneze nafasi ya goliModric ni zaidi ya nouma. Kawapoteza Barca wote pale Kati. Isco nawe anasongesha vzr sana aisee
Benzema ni mzito sana aisee, nafasi kama zile hazipatkan mara kwa mara kwenye game kama hiziBenzema anataka kufunga goli la aina gan