Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Leo mjomba ronaldo na bambucha marcelo either wamepata uchochoro upande wa alves maana hayupo au wammpe dogo ujiko...
 
Nimeona Morata amesafiri na team japokuwa hatacheza, kazi yake Leo itakuwa kupiga amsha amsha, jamaa anapenda kushangilia kweli
 
HF:modric na isco wamefanya kazi nzuri sana,benzema anakosa wakat gan atoe pasi haswa anapoangaliana na goli..Ronaldo kacheza vzr japokuwa anatakiwa aongeze kasi yakukimbia nakutoa pasi...Beki za kati zinapoteana wakat mwingine....
 
Back
Top Bottom