Yule Martins anamsumbua sana Marcelo, dogo ana mbio, na ukingatia mda wote yupo juu so inakuwa ngum sana kumkaba. Vasquez angehamia wing ya kushoto angemsaidia sana.
Hapo nilikuwa ninasubiri marudio nione Ramos alichokifanya, nilidhan alishika tena, amefanya jambo la kishujaa sana.
Team bado inacheza vizur, kama 4-4-2 ni system nzuri sana kwetu,