Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #23,301
Scoreline quickly changed from 1-0 to 3-0 after this happened.
hao wetu, majembe yatakua yameponawale wajinga wa catalunya tukiwapiga watapunguza kelele,hila wapo under pressure sana safari hii pale hatutoki.VAMOS MADRID............
off coursehao wetu, majembe yatakua yamepona
Kikosi kinatanuka na kuwa kipana nacho kacheza vizuri varane tena ndio usiseme isco mambo yake anajua mwenyewe kafanya kazi kubwa pale kati zile mbio za bale ilikuwa balaa.Zidane ni kocha mzuri sana alifanya vizur kutomchezesha Ramos anayetoka hospitali