Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #23,281
The players completed today's session.
Umefuta kauli yako ile au bado?Congratulations Real Madrid, Congratulation Cr7 for hatrick.
Naendelea kufurahi tu maana wapinzani wote kimyaaa.!!
Well said, Kiukweli mimi sijawahi kuogopa timu yoyote msimu huu kuanzia la Liga mpaka UEFA bali wasiwasi upo kwenye majeruhi yetu tu. Ila vinginevyo sioni timu ya kutufunga.Hawaongei kwasababu salaam wamezipata. Wanajua kiama chao chaja na kiburi si maungwana. Si unakumbuka kabla Atletico's players walikuwa wanaongea kwa kujiamini, walisahau hii ni Real Madrid. Kwenye Betting jana watu wameliwa hela vibaya we acha tu.
Nimeifuta Cr7 ni special playerUmefuta kauli yako ile au bado?