So far so good!! kama kawaida tumeanza game slow ila kadri mda ukivyokuwa unasonga na team ilikuwa inaimarika japokuwa sio sana sababu hawa wapinzan wetu wanaweza kukaba na pia viungo wetu wacheza chini sana, so bado katikati kuna shida kidogo!! Muhimu ni kuwa tunaongoza goli mbili hope Leo hatutachafua gazeti!!