Kama kawa adui mwombee njaa, mwenyew niilichungulia baada ya kuona Sociedad wanongoza goli moja!! Kama na wanaofuata kesho wakigawana tena point itakuwa jambo jema sana kwetu!!
[HASHTAG]#GermanMachine[/HASHTAG], huyu tulilamba dume.Modric getting a run in the second half might finally allow Kroos a rest. Has played all 90 mins of Real's last 10 games.
Zizou anatumia mbinu zakumbeba benzema zaidi....awape kila mtu kipindi kimoja kimoja takwimu ziongee...kucheza wote kwa pamoja nikujichanganya nakuipa timu mzigo nyumaDuu, hiyo ya Benzema na Morata sehemu moja inakuwaje!! au Zizou anafanya majaribio?