Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Hii ni mara ya pili ninaona tunafungwa goli Kovacic akiwa anaangalia!! inakuaje wanamwacha jamaa achague angle ya kupiga? Casemiro apone tu haraka kwa kweli!!Legia pulled one back with a powerful shot from outside the box, 1-2
Hii ni mara ya pili ninaona tunafungwa goli Kovacic akiwa anaangalia!! inakuaje wanamwacha jamaa achague angle ya kupiga? Casemiro apone tu haraka kwa kweli!!
As usual, We can't keep clean sheet!
Timu inacheza bila connection ya maana. Vs Dort hali itakuwa Tia maji Tia maji bila kufanya marekebisho ya haya.Mi niliona goli lipo pale. Wangetulia wangetupiga hata 2.
Timu inacheza bila connection ya maana. Vs Dort hali itakuwa Tia maji Tia maji bila kufanya marekebisho ya haya.
Daaah
Ki ukweli we have to win jamani