Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #22,681
86' Sub: Vasquez on for Bale
Kijana bado anaendelea kudhihirisha kuwa yupo vizur!! Benzema akae chonjo!!Who else?
Dollarcell.com Earn 10$ - 25$ for every 10 second tasks, Earn Fix 4000$ Weekly Guaranteed!!
Fursa hiyo,ingia hapo kwa maelezo zaidi
Gemu ya leo
Nimeona bado Vearane haja tulia, halafu Benzema kwa kweli ampishe Morata, sjajua Zidane anataka Morata afanye nini ndio aanze
Danilo bado hayuko siriaz, sjajua pia kwa nn alicheza leo.
Ki ujumla beki yetu haija kaa poa bado, ila Kingnaldo kanifurahisha na hatrick saafi
Next UCL
Danilo katoa boko la maana, mi nafikiri zile pasi za haraka bado zinamsumbua. Danilo ilibidi acheze kwasababu Carvajal alikiwa suspended.
Kwa ujumla pale Madrid hakuna hata mmoja anayecheza kama total defender, timu ikipata mpira utawakuta wote wako karibu na opponent box wanasubiri pasi. Ni kitu kizuri kwenye attacking, lakini wakipoteza mipira inakuwa hatari ndio maana yakija mashambulizi yanawakuta hawajajipanga. Dawa ya hii kitu defence ianzie mbele, timu inatakiwa ku win the ball back haraka Sana. Na Zizou analijua hilo, ndio maana tunamuona James anasugua Bench kwasababu mjomba anashambulia tu wakati swala la defence ni la timu nzima. Nilimuona Ronaldo kwenye form maana mpaka alikuwa anashuka kudefend sometimes. Na hii ndio tofauti ya Benzema na Morata pia. Benzema aonekani mara nyingi kwasababu anasubiri mipira acheze na Ronaldo na Bale tu wakati Morata anacheza uwanja wote.
Gemu ya leo
Nimeona bado Vearane haja tulia, halafu Benzema kwa kweli ampishe Morata, sjajua Zidane anataka Morata afanye nini ndio aanze
Danilo bado hayuko siriaz, sjajua pia kwa nn alicheza leo.
Ki ujumla beki yetu haija kaa poa bado, ila Kingnaldo kanifurahisha na hatrick saafi
Next UCL