Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

7' Deyverson has scored against REAL MADRID. Good counter attack by Alaves after Danilo's mistake.
 
Duu, mbona mapema sana, anyway bado muda upo wa kujeuza matokeo!! [HASHTAG]#VamosReal[/HASHTAG]
 
Kinachonichukiza akicheza Isco na Kovacic pamoja ni kuwa wanapoozesha sana mipira katikati, wanapenda sana kukaa na mpira.
 
Kinachonichukiza akicheza Isco na Kovacic pamoja ni kuwa wanapoozesha sana mipira katikati, wanapenda sana kukaa na mpira.

Inabidi wawanyang'anye mipira kwenye half yao, they don't to give the possession at all.
 
Back
Top Bottom