Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #22,541
CASILLA ! Kiko pull his 2nd great save tonight
Duu, ni saa ngapi tumewaogesha hiv hawa wajamaa!! Hapa nimebaki kusikilizia tu uwezekano wa kungalia hii game umeshaisha!!
Ninafanya jitihada hapa nimalizie walau dk zilizobaki, Shukran kwa Link Mkuu!!Man, ungeona goli la Nacho. Yaani lile ni goli bora la mashindano.
Kama kawa nilijua hatoniangusha man!! Huyo ndio Mariano.MARIAAAAAAAAANOOOOOOOO!!!! Great header after a good cross by Lucas....
Bado kuna tatizo kwny defence yetu, sasa sijui Zizou anaangalia vp hilo eneo!!No clean sheet for us, nowadays!
Hilo goli lilikuwa zuri sana,amejitosa kupiga acrobatic ile.GOAAAAAAAAAAAAAAL !! WHAT A GOLAZO FROM NACHO
Bado kuna tatizo kwny defence yetu, sasa sijui Zizou anaangalia vp hilo eneo!!