Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Umakini ulikuwa 0 kaka, Benzema yeye amebaki kushika kichwa tu!! sijui inakuwaje!!Halafu Isco ile header over the bar kafanya papara tu. What a chance that was, angetulia ile ni kwenye kamba tu.
Kweli kabisaHakyanani kama tunataka ubingwa ni lazima tuwe serious
Mkuu Cesar CasparNi vizur Zizou akajifunza bado mapema kabisa, hatutaki mambo ya kukisia, mbona wakati anafika alipanga team yake vizur tu, pale kati tulizidiwa ila Kroos na Modric walicheza vizur sana, tatizo tunakosa umakini tukifika final 3rd ya adui, ubinafsi mwingi na kukosa umakini!! wajamaa wanajipigia tu!! sasa hii presha ya kuongoza league kwa point moja tutaiweza?
Benzi simuelewiPia kwa nini James ameachwa bench mwanzo mwisho? Zizou ajitathimini upya kikosi chake maana hapa mwanzo ni muhimu kubeba point tatu kwa kila mechi.
Ni game ngum sana hiyo kwa kweli, hatujawafunga kwao kwa siku za hiv karibuni, sasa sijui week ijayo itakuwaje!! Hope Zizou hatotuwekea tena lile pazia pale golini!! na ikiwezekana tuende hata na 4-4-2, bila kuwashika kiungo wale watatusumbua sana, hawana tofauti sana na hiz team tulizotoa nazo drawJumanne na Borrusia Dortmund nyumbani kwao. Na msimu huu wanatisha kama njaa.
ngoja nidake siti ya nyuma niroge chinichini. Palmas ni wapambanaji najua hawataniangusha.
Benzi simuelewi
Zidane akiendelea hivi mwisho wake mbaya. Watu wenye vipara wana matatizo sana.
Ckuona ulazima wa kumuweka benchi James anauchu na anajituma sana akipata nafasi uwanjaniPia kwa nini James ameachwa bench mwanzo mwisho? Zizou ajitathimini upya kikosi chake maana hapa mwanzo ni muhimu kubeba point tatu kwa kila mechi.
Yaan Hizi game 3 zote tunacheza na timu zinazovaa jezi rangi ya njano cjui tuna gundu na hii lang maana Villarreal tumeambulia draw,las palmas tena draw sasa BvB tutaambulia nn,naona mambo yamekuwa magumu sana kwa Hizi game 3 za rangi ya njano
Haukuwa uamuzi mbaya, kama alitaka kumpa Isco muda kidogo sababu ninadhan j4 anaweza kucheza pia. Tatizo kwenye hii game ya Leo ilikuwa ni umakini tu na kujituma kwa wachezaji!!Ckuona ulazima wa kumuweka benchi James anauchu na anajituma sana akipata nafasi uwanjani