Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #21,041
MARCA | "Bale: We're focused on La Liga."
Kweli kabisa wachezaji tunao wengi wa kujitosheleza ,tutaweza kuwatumia vizuri na kuweza kupambana vya kutosha kwa kikosi kilichopo,madridista always never give up fight until last minute watacheza kwa hali yoteNinaona FIFA wameamua kutukazia, hata hivyo sikutarajia jipya kutoka kwao, ni vigumu sana kubatilisha maamuzi yao, cha muhimu hapa ni club kupiga hii ishu chini na kusonga mbele, hata hiyo CAS sio wa kuwaamini kihivyo. Tuna kikosi kikubwa kwasasa na bado tuna vijana wapo team nyingine kwa mkopo, sidhani kama tutashindwa kufanya vizur na kikosi hiki!!