Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid named 'European Club of the Year 2016' by The European Club Association.

Real Madrid was recognised for "the outstanding achievements during the 2015/16 season", in winning their eleventh European Cup.

Pedro López Jiménez, the vice-president of Real Madrid, collected the award during the ECA General Assembly in Geneva (Switzerland).

CrrLWc5W8AAZ93-.jpg:large
 
MARCA | Kiko will probably start vs BVB. Keylor is targeting 24th September as his return but could be forced to wait until October.
Navas mbona kama kuchukua muda mrefu sana kupona!! au aliumia tena wakati anapambana kurudi? sababu wenzie karibia wote ndani ya week mbili watakuwa wapo fit kabisa. Physio wa club wamwangalie sana huyu mtu, anahitajika sana kwa kweli!! Cassila sio wakuamini kihivyo, kuna muda anapataga wenge, maana yake tusipokuwa na ulinzi wa uhakika tunaweza kulia mda wowote!!
 
[HASHTAG]#Rumours[/HASHTAG]: If Adidas did not offer Madrid more money than any other club then We are about to see Nike working with Real Madrid and the Catalans at the same time.
Ninaona Adidas wanataka wakipoteza fursa yao muhimu, ninadhan wenyew wanajua deal na Real Madrid inavyonyemelewa na wapinzan wao wakubwa, waliteleza kidogo tu watu wanachukua nafasi.
Ila hiyo ishu ya Ronaldo kutoshangilia akiwa amevaa jersey kwa upande wangu haina mashiko, 2014 alishangilia kwa style hiyo hiyo, mbona hawakusema chochote? waache mambo ya kishwahili, watoe mpunga waache visingizio vya ajabu ajabu!!
 
Navas mbona kama kuchukua muda mrefu sana kupona!! au aliumia tena wakati anapambana kurudi? sababu wenzie karibia wote ndani ya week mbili watakuwa wapo fit kabisa. Physio wa club wamwangalie sana huyu mtu, anahitajika sana kwa kweli!! Cassila sio wakuamini kihivyo, kuna muda anapataga wenge, maana yake tusipokuwa na ulinzi wa uhakika tunaweza kulia mda wowote!!

Kama unakumbuka Navas alifanyiwa surgery ya kimzizi cha nyuma hiki cha mguu wa kushoto mwezi June. Yaani hata Msimu uliopita alimaliza kiubishi tu. Casilla ashacheza few matches nafikiri wenge lishapungua. Na deffence yetu naiamini. Yaani msimu huu unaambiwa hakuna kupoteza game hata moja.
 
MARCA | "September exams; Zidane needs to manage a very charged schedule."

CrvRO0DWgAABMVe.jpg:large
 
AS |"Morata: Hopefully Zidane will rotate the BBC."

CrvRfaXWIAAB9uC.jpg:large
 
AS: La Liga President Tebas has spoken about the possibility of some matches being called off this weekend because of the heat wave.
 
Navas mbona kama kuchukua muda mrefu sana kupona!! au aliumia tena wakati anapambana kurudi? sababu wenzie karibia wote ndani ya week mbili watakuwa wapo fit kabisa. Physio wa club wamwangalie sana huyu mtu, anahitajika sana kwa kweli!! Cassila sio wakuamini kihivyo, kuna muda anapataga wenge, maana yake tusipokuwa na ulinzi wa uhakika tunaweza kulia mda wowote!!
Kweli aisee kiko kuna mda anjisahau na kufanya makosa ya kijinga ambayo yataweza kuigharimu timu endapo tutakutana na threats kama celta Vigo walivyopambana
 
Kweli aisee kiko kuna mda anjisahau na kufanya makosa ya kijinga ambayo yataweza kuigharimu timu endapo tutakutana na threats kama celta Vigo walivyopambana
Yule ni wa kufundwa haswa, amekuwa golini kuanzia pre season, sasa nilitegemea kuwa vijimakosal vidogo vidogo havitakuwepo ila baso ile game ya Celta alikuwa bado anakawenge, hope atajitahid game ya jmosi sababu si ajabu akadaka mpaka game ya Dortmund.
 
Kama unakumbuka Navas alifanyiwa surgery ya kimzizi cha nyuma hiki cha mguu wa kushoto mwezi June. Yaani hata Msimu uliopita alimaliza kiubishi tu. Casilla ashacheza few matches nafikiri wenge lishapungua. Na deffence yetu naiamini. Yaani msimu huu unaambiwa hakuna kupoteza game hata moja.
Ninakumbuka sana Mkuu, kuwa jamaa alifanyiwa surgery, ila ilitegewa kuwa angekua fit la liga itakapokuwa imeanza, sasa sikusikia taarifa zozote kuwa labda alipata setback, ninachoona ni kuwa tarehe zinapelekwa tu mbele!!
 
Marcos Llorente (On Loan) at Alaves.

2 Games
2 Man Of The Match awards.
90+ pass accuracy in both games.

14264962_1309313362426754_1785036461706049669_n.jpg
 
Still under the shock, Brazil coach Tite reveals:

"I didn't imagine Casemiro was THIS good. He dominated the game."

"Casemiro was charged to neutralize James Rodriguez who is Colombia's best player. He totally dominated the sector where he plays."

"I spoke with Zidane and he insisted that Casemiro is the player who gives Real Madrid balance. I decided to trust him and start him"

14191925_1309337669090990_3578296364223537842_n.jpg
 
Back
Top Bottom