Nilibahatika kuangalia game ya Castilla hiyo jana, kiukweli Diaz yupo vizur, ana uwezo wa kukaa na mpira, pia ana nguvu, Ninadhan msimu ujao anaweza tolewa kwa mkopo anakapate experience kucheza kweny ligi, sitoshangaa kumwona first team misimu miwili ijayo!!