Real Madrid huenda isitoke na kombe lolote

ketone

JF-Expert Member
Jan 22, 2016
510
655
Ninaona kuwa huenda real madrid msimu huu isichukue chochote na ikitokea hivo naona zidane akitimuliwa
 
kwenye league sioni kama ipo game barcelona itapoteza..ila madrid huenda zipo game kama mbili anaeza poteza ukizingatia atatumia nguvu nyingi kwenye champions league na akaduwazwa na atletico

Nimesoma hii thread nikizani ya kwamba umeweka analysis nzuri kumbe ni ndoto za Alinacha na mawazo ya ki shekhe yahya..

barcelona yeye atashinda Game zote na Madrid atapoteza game mbili........
 
Jana Madrid kashinda na Barcelona nae kashinda sasa Mwenye msimamo ulivyo anisaidie
 
R.Madrid wanahitaji droo tu kwenda top .Ni kama vile unaomba wapoteze mechi ili Barca iendelee kuwa juu
 
Kwa msaada tu, game za real zinazokuja valencia, granada, sevilla, malaga. Game ngumu apo ni sevilla na kidogo kwa mbali ni valencia. Game ya sevilla inachezwa wakati madrid ameshajijua kama ameingia final au ameshindwa, hivo itakua ni ngumu kuipoteza.
Game za barca zinazokuja ni espanol, villareal, las palmas, eibar. Hapa game ngumu kwa barca ni espanol na villareal, kinachompa advantage barca kwa sasa ni kua ameshatolewa kwenye uefa, lakini haina maana ya kwamba izo game mbili ni rahisi kwake, siku akitoa droo tu basi madrid wanajihakikishia kombe ni lake.
Maana madrid pia ana kiporo Na celta vigo, iyo game sio ngumu kivile kwa madrid
 
Back
Top Bottom