Real Madrid come back vs Arsenal

Real Madrid come back vs Arsenal

Comeback, imeshindwa,

Arsenal Wamecheza kimakini sana,

Arsenal wametisha.
 
Madrid wange mpata Aucho, Nzengeli, halafu sub ya Vinicius anaingia Mpanzu. dah madrid ingekuwa bonge la team kwa kweli
 
Maneno maneno ya nini, si kesho tu... kwanini tuongee sana. Ni either utaona aibu kwa post yako hii au kufurahia. Ni hayo mawili tu yatatokea.
Wameshinda lakini hawana furaha. Tafsiri ya kauli hii ipo mioyoni mwa mashabiki wa Arsenal.

Wakati tunajiandaa na come back kabambe dhidi ya Hawa watoto (Arsenal), nawatembeza chini ya barabara nyembamba ya kumbu kumbu, ili Hawa vijana wa Arsenal wajue ni dudu gani wanaenda kukutana nalo hapo Spain. Hizi hapa comebacks baadhi

1. Real vs City 2022
First leg City 4-3 Real, Etihad
Second Leg, Bernabeu
Mpaka dakika ya 90 City anaongoza moja bila, aggregate City 5-3 Real. Full time Real 6-5 City

2. 1. Real vs PSG 21/22 UCL,
First leg at Parc Des Princes, PSG 1-0 Real.
Wanakuja Bernabea second leg, dkk ya 40 Mbappe anaweka chuma ya pili. Aggregate PSG 2-0 Mardid baada ya kipindi cha kwanza.

Game iliisha Mardid 3-1 PSG.

3. Real vs Bayern, 2024
First leg Real 2-2 Bayern Ujerumani

Second Leg, Mardid.
Mpaka dakika ya Mpaka dakika ya 88, Bayern anaongoza moja bila, aggregate inasomeka Real 2-3 Bayer.

Full time Real 2-1 Bay, Agg 4-3

4. Real vs Wolfsburg
First leg German
Wolf 2-0 Real

2nd leg Spain
Real 3-0 Wolf

5. Vs Juventus 2018
First leg Italia
Juve 3-1 Mardid

Second Leg Spain
Madrid 3-0 Juve

Aggregate Mardid 4-3 Juventus. Hii Juventus ya watu haswa.

With closed roof, kelele mara 5 ya zile za Anfield, Arse8 hawatoamini wamepigwa na kitu gani

Nilikuambia nini jana BONNIE GOLD, how do you feel today? COYG.. na roof yenu mmefunga, tumewa gonga mule mule...
 
mkuu mbona timu ndio zimeingia nusu fainal ila ww unasema final kvp.. usisahau jana PSG vs Barca nao watacheza nusu final hawa jamaa wawili wamoto balaa ngoma bado mbichi hii kwani final itachezwa PSG/Barca Vs. Arsenal/Inter
Mechi mbili za mwisho za barca zimenipa wasiwasi,,,pia PSG wanafika kirahisi hawezi mtoa Arsenal
 
Mechi mbili za mwisho za barca zimenipa wasiwasi,,,pia PSG wanafika kirahisi hawezi mtoa Arsenal
tatizo lako unaleta hisia na ushabiki kwenye kazi..PSG sio everton au crystal palace au Bounermouth wanaomchapa arsenal hapo EPL oooh weka akiba ya maneno mpira hauchezwi mdomoni we mshabiki wa arsenal.!
 
tatizo lako unaleta hisia na ushabiki kwenye kazi..PSG sio everton au crystal palace au Bounermouth wanaomchapa arsenal hapo EPL oooh weka akiba ya maneno mpira hauchezwi mdomoni we mshabiki wa arsenal.!
Everton tulishindwa kumfunga, PSG tulimfunga.
 
Shangilia ila usiniguse
images (123).jpeg
 

Attachments

  • images (123).jpeg
    images (123).jpeg
    28.3 KB · Views: 19
Back
Top Bottom