Siwezi shabikia ujinga wa simba na yanga ambao wao kufungwa ni dhambi . Tusipangiane kwenye burudaniTunashabikia mno timu za wazungu.
Tunalisahau Taifa letu linaangamia.
Hata wao hawashabikii kama sisi.
Kenya huwa wanajinyonga kisa Arsenal.
Mungu atuepushe na Upumbavu.
E Baba fungua akili zetu Vijana wa Kitanzania , Tuamke kwenye huu ugonjwa mkubwa.
Vamos Los BlancosWameshinda lakini hawana furaha. Tafsiri ya kauli hii ipo mioyoni mwa mashabiki wa Arsenal.
Wakati tunajiandaa na come back kabambe dhidi ya Hawa watoto (Arsenal), nawatembeza chini ya barabara nyembamba ya kumbu kumbu, ili Hawa vijana wa Arsenal wajue ni dudu gani wanaenda kukutana nalo hapo Spain. Hizi hapa comebacks baadhi
1. Real vs City 2022
First leg City 4-3 Real, Etihad
Second Leg, Bernabeu
Mpaka dakika ya 90 City anaongoza moja bila, aggregate City 5-3 Real. Full time Real 6-5 City
2. 1. Real vs PSG 21/22 UCL,
First leg at Parc Des Princes, PSG 1-0 Real.
Wanakuja Bernabea second leg, dkk ya 40 Mbappe anaweka chuma ya pili. Aggregate PSG 2-0 Mardid baada ya kipindi cha kwanza.
Game iliisha Mardid 3-1 PSG.
3. Real vs Bayern, 2024
First leg Real 2-2 Bayern Ujerumani
Second Leg, Mardid.
Mpaka dakika ya Mpaka dakika ya 88, Bayern anaongoza moja bila, aggregate inasomeka Real 2-3 Bayer.
Full time Real 2-1 Bay, Agg 4-3
4. Real vs Wolfsburg
First leg German
Wolf 2-0 Real
2nd leg Spain
Real 3-0 Wolf
5. Vs Juventus 2018
First leg Italia
Juve 3-1 Mardid
Second Leg Spain
Madrid 3-0 Juve
Aggregate Mardid 4-3 Juventus. Hii Juventus ya watu haswa.
With closed roof, kelele mara 5 ya zile za Anfield, Arse8 hawatoamini wamepigwa na kitu gani
TusubiriHamna kitu kama hicho. Inaweza kushinda ila sio kumtoa Arsenal. Hakuna kikosi pale
Jamaa kakosa PenaltTusubiri
Pooleee weee!Wameshinda lakini hawana furaha. Tafsiri ya kauli hii ipo mioyoni mwa mashabiki wa Arsenal.
Wakati tunajiandaa na come back kabambe dhidi ya Hawa watoto (Arsenal), nawatembeza chini ya barabara nyembamba ya kumbu kumbu, ili Hawa vijana wa Arsenal wajue ni dudu gani wanaenda kukutana nalo hapo Spain. Hizi hapa comebacks baadhi
1. Real vs City 2022
First leg City 4-3 Real, Etihad
Second Leg, Bernabeu
Mpaka dakika ya 90 City anaongoza moja bila, aggregate City 5-3 Real. Full time Real 6-5 City
2. 1. Real vs PSG 21/22 UCL,
First leg at Parc Des Princes, PSG 1-0 Real.
Wanakuja Bernabea second leg, dkk ya 40 Mbappe anaweka chuma ya pili. Aggregate PSG 2-0 Mardid baada ya kipindi cha kwanza.
Game iliisha Mardid 3-1 PSG.
3. Real vs Bayern, 2024
First leg Real 2-2 Bayern Ujerumani
Second Leg, Mardid.
Mpaka dakika ya Mpaka dakika ya 88, Bayern anaongoza moja bila, aggregate inasomeka Real 2-3 Bayer.
Full time Real 2-1 Bay, Agg 4-3
4. Real vs Wolfsburg
First leg German
Wolf 2-0 Real
2nd leg Spain
Real 3-0 Wolf
5. Vs Juventus 2018
First leg Italia
Juve 3-1 Mardid
Second Leg Spain
Madrid 3-0 Juve
Aggregate Mardid 4-3 Juventus. Hii Juventus ya watu haswa.
With closed roof, kelele mara 5 ya zile za Anfield, Arse8 hawatoamini wamepigwa na kitu gani
We MCHAWIIIII!Kila siku sio jumapili
Arsenal anashinda tena 2-1
Walikua wamekariri hawa,waliamini wao tu ndio wanajua mpira 😃Kila siku sio jumapili
Arsenal anashinda tena 2-1
mkuu mbona timu ndio zimeingia nusu fainal ila ww unasema final kvp.. usisahau jana PSG vs Barca nao watacheza nusu final hawa jamaa wawili wamoto balaa ngoma bado mbichi hii kwani final itachezwa PSG/Barca Vs. Arsenal/InterFinal
Arsenal vs Intermilan
Bingwa Intermilan
Upo sahihi! Arsenal kaingia nusu fainali, kama Inter, PSG na Barca!mkuu mbona timu ndio zimeingia nusu fainal ila ww unasema final kvp.. usisahau jana PSG vs Barca nao watacheza nusu final hawa jamaa wawili wamoto balaa ngoma bado mbichi hii kwani final itachezwa PSG/Barca Vs. Arsenal/Inter