Real game of throne ndani ya CCM

Real game of throne ndani ya CCM

"JPM ni kiongoz mzuri lakin maisha ya watu wake sio mazuri"

Point ya maana sana...
Ngoja tuone...

Cc: mahondaw
 
1. Kujenga ushawishi ndani ya serikali ili maamuzi yabadilishwe.
2. Kujiuzulu ili asiwe sehemu ya maamuzi hayo.
3. Kukubali kubaki serikalini na kuwa sehemu ya maamuzi hayo.

Maamuzi ya ufisadi wowote kwenye serikali ya Kikwete Magufuli hakuchukua option 1 wala 2 hapo juu. Kachukua option 3.

Option 3 inaweza kuwa trick nzuri kuwanasa wanaofanya maamuzi mabovu, ni kama kukimbia na mpira kuelekea golini kwako halafu ukifika eneo fulani unapiga nduki kurudi kwa adui
 
Option 3 inaweza kuwa trick nzuri kuwanasa wanaofanya maamuzi mabovu, ni kama kukimbia na mpira kuelekea golini kwako halafu ukifika eneo fulani unapiga nduki kurudi kwa adui
Lakini bado hujajitenganisha na maamuzi.

Musiba hawezi kuzisema serikali za Mkapa na Kikwete ambazo Magufuli alikuwamo ndani yake, bila kumsema Magufuli.
 
Mwisho ni wadokeze tu , JPM still needs JK sana kuliko ,iwe JK mwema au JK mwovu , in any case JK deserves a medal of Honor Kwa service yake Kwa nchi hii.
Nchi hii ukiambiwa uwe Rais Kwa week Moja tu , usipokua sawa kichwan unaweza kuagiza wafe robo ya watu kisa wanakupinga, ts not easy.
Mada yote umeanza kuivurugia hapa. Huko ulikoendelea ukawa umetoka kabisa katika lengo lako la mwanzo!

Kwa taarifa yako, Musiba hawezi kuwa "Lone Ranger," akayasema yoote aliyoyasema kwa uhuru wote bila ya ruhusa maalum.
Sasa kama kaanza kuvurunda, hiyo ndio nafasi ya kumkana, ionekane ni mwenda wazimu fulani; lakini lengo lililokusudiwa atakuwa amekwisha litimiza.
Sasa atatoswa kama ganda la ndizi. Watakaolikanyaga watavunja viuno!
 
Kikwete is truly the master. Mimi ningekuwa Magu wala nisingemgusa Kikwete. Kuna mambo huwezi kuyafanya hata kidogo.
Kwa bahati nzuri au mbaya wewe sio Magu. Hujui anayoyajua Magu na wala hujui mikakati inayofanyika misingi yake imesimamia wapi.

Hili ndilo tatizo tulilonalo wengi tunaobahatisha tu kuyachambua haya tunayoyaona kwa nadharia au kubahatisha tu.
 
Wacha wavurugane nchi ipone.
Ndugu SS, uzuri wa ccm ni kuwa inaleya wazee kwa vijana, kwa hiyo kuna busara na jazba pia.

Kuna mengi yanayofanyika hivi sasa ambayo sio mazuri, lakini tuna imani kuwa wazee wanangojea kuna HEAD PHONES wamezisanii ziko kiwandani, zinakaribia kuwasili nchi, ndipo tutaona mabadiliko
 
Nchi hii ukiambiwa uwe Rais Kwa week Moja tu , usipokua sawa kichwan unaweza kuagiza wafe robo ya watu kisa wanakupinga, ts not easy.
Leo hii akina kinana cjui nape tunawaona wehu sana ts ok.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Urais sio majaribio, acha apambane na hali yake!..
 
Kwa bahati nzuri au mbaya wewe sio Magu. Hujui anayoyajua Magu na wala hujui mikakati inayofanyika misingi yake imesimamia wapi.

Hili ndilo tatizo tulilonalo wengi tunaobahatisha tu kuyachambua haya tunayoyaona kwa nadharia au kubahatisha tu.

You have the point. But sikio halizid kichwa hata kidogo. Magu is nt and cant be in the deep state in such politics.
Unadhani haya mambo ni kukurupuka? Nyerere aliuawa sembuse Magu?
Usifikiri politics ni kama kuamka na kufanya mambo.
 
Wako watu katika hii michango hapa wanafikiri wanasifia kumbe wanaponza.
 
Kikwete is truly the master. Mimi ningekuwa Magu wala nisingemgusa Kikwete. Kuna mambo huwezi kuyafanya hata kidogo.
Angekuwa master asingeimbiwa wimbo wa tunamtaka mamvi kule Dodoma
 
Back
Top Bottom