Nikiripoti kutoka uwanja wa la rosaleda jijini Malaga,timu ya Malaga imefanikiwa kumshikisha adabu mpinzani wake wa jadi wa andalusia mashariki Granada mabao 4-0,wafungaji ni Joaquin Sanchez,Javier Saviola,Ignacio Camacho na Roque Santa Cruz
nayo Valencia ikicheza ugenini jini Pamplona chini ya meneja mpya Ernesto Valverde iliwachapa Osasuna(health) kwao bao 1-0,Valencia walimtimua kocha wao mchezaji wa zamani Mauricio Pellegrino,matokeo mengine Messi kaweka rekodi mabao 86 kafunga mawili yote kwa pasi ya Iniesta huko uwanja wa Benito villamarin jijini Sevilla,vs Real Betis,barca walishinda 2-1,Atletico Madrid kashinda 6-0 kwao vicente calderon vs deportivo Falcao akifunga mabao 5.,Espanyol watoto wa airport wakicheza kwao el prat stadio walienda 2-2 na Sevilla ijumaa,Valladolid na manucho akifunga mabao yote mawili walichapwa kwao 2-3 na Real Madrid.
[h=2][/h]