Re:WIKILEAKS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re:WIKILEAKS

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IGWE, Sep 8, 2011.

 1. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Wakuu,...

  Naomba kujuzwa kuhusu hii kitu inaitwa "WikiLeaks"...maake mara nasikia_Wikileaks..asemayo Kikwete kuhusu zanzibar,mgongano wa Kapuya na gen.Waitara,Kikwete aliwaombea Jairo na Makamba US and so forth and so on,...

  My take:naomba kujuzwa kuhusu huu mtandao ni kama mitandao mingine ya kijamii like twitter,jf,fb etc....kwamba watu wanapost maoni yao huko au ni something tofauti kiasi kwamba habari zake ni realiable sana.

  Ni hayo tu wakuu.

  nawakilisha ili nipate jua hii kitu
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  WikiLeaks is a not-for-profit media organisation. Our goal is to bring important news and information to the public. We provide an innovative, secure and anonymous way for sources to leak information to our journalists (our electronic drop box). One of our most important activities is to publish original source material alongside our news stories so readers and historians alike can see evidence of the truth. We are a young organisation that has grown very quickly, relying on a network of dedicated volunteers around the globe.

  Since 2007, when the organisation was officially launched, WikiLeaks has worked to report on and publish important information. We also develop and adapt technologies to support these activities. WikiLeaks has sustained and triumphed against legal and political attacks designed to silence our publishing organisation, our journalists and our anonymous sources.

  The broader principles on which our work is based are the defence of freedom of speech and media publishing, the improvement of our common historical record and the support of the rights of all people to create new history. We derive these principles from the Universal Declaration of Human Rights.

  In particular, Article 19 inspires the work of our journalists and other volunteers. It states that everyone has the right to freedom of opinion and expression; this right includes freedom to hold opinions without interference and to seek, receive and impart information and ideas through any media and regardless of frontiers. We agree, and we seek to uphold this and the other Articles of the Declaration.

  1.2 How WikiLeaks works

  WikiLeaks has combined high-end security technologies with journalism and ethical principles. Like other media outlets conducting investigative journalism, we accept (but do not solicit) anonymous sources of information. Unlike other outlets, we provide a high security anonymous drop box fortified by cutting-edge cryptographic information technologies. This provides maximum protection to our sources.

  We are fearless in our efforts to get the unvarnished truth out to the public. When information comes in, our journalists analyse the material, verify it and write a news piece about it describing its significance to society. We then publish both the news story and the original material in order to enable readers to analyse the story in the context of the original source material themselves.

  Our news stories are in the comfortable presentation style of Wikipedia, although the two organisations are not otherwise related. Unlike Wikipedia, random readers can not edit our source documents.

  As the media organisation has grown and developed, WikiLeaks been developing and improving a harm minimisation procedure. We do not censor our news, but from time to time we may remove or significantly delay the publication of some identifying details from original documents to protect life and limb of innocent people.

  More inforhttp://wikileaks.org/About.html
   
 3. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Ninavyofahamu Wiki-leak ni mtandao unaopokea habari mbalimbali za SIRI za serikali ambazo hazijatangazwa na zimethibika na ni za ukweli. Mtu yeyoye anaweza kuwatumia lakini uwe na uwezo kuzithibitisha.
   
 4. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Ni mtandao unaoongozwa na J.Assange ambaye ni jamaa aliyefanikiwa kupata nyaraka za siri ambazo pentagon walikuwa wanataka kuziteketeza. Nyaraka hizo zinahusu maongezi mbalimbali ya viongozi mbalimbali katika vikao, mikutano au kwa mawasiliano.

  Nyaraka hiyo zinasiri kubwa za serikali mbalimbali za dunia hii. Kilasiku wanatoe baadhi ya nyaraka na wana mpango wa kuifanya dunia itambue nini kinachoendelea katika serikali zao. Check wikipedia. Wikileaks na wikipedia foundation sio ya mmiliki mmoja. Neno 'wiki' lisikuchanganye.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,054
  Trophy Points: 280
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Habari za Kikwete nazo zina ukweli?
   
 7. N

  Nonda JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia trend ya "habari za siri" za Wikileaks basi unaweza kuamini ni off shoot ya vyombo vya kijasusi vya US na West. Habari hizi hasa hulenga kuchafua watu,viongozi katika nchi ambazo ni nchi lengwa ili kuanzisha fujo, kuchochea chuki...kiufupi kuweka hamira katika hali tete na kuripua hasira za wananchi ili waanzishe fujo.

  Huwa kuna ukweli kidogo katika habari hizo za siri lakini ni selective kwa nchi na viongozi zinazochukiwa na US, West. kama vile ICC inavyofanya kazi zake. Hakuna siri zinazovujishwa zinazochochea chuki kwa viongozi wa US,West.

  Propaganda tool nyengine inayotumika kufikia malengo ya kuzitawala na kuziibia utajiri nchi changa duniani.
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  bila shaka,...na ukizingatia hicho kigezo cha kupeleka habari na kuthibitisha ni kigezo kizuri sana
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  mmmmhhhhhhhhhhhhhhhh!
   
 10. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa hapa Tz kuna aina yoyote ya wikileaks baada ya JF?
   
 11. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Muulize roomate wako hapo Tausi guest house igunga.
   
 12. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Naona bado hujailewa Wikileaks vizuri. Wao hawatengenezi habari, wanachofanya ni kuwapa watoa siri njia salama ya kutoa siri bila kukamatwa.

  Kuhusu ishu za JK, haya ni mawasiliano yaliyokuwa yanafanyika kati na maofisa (akiwemo balozi) wa ubalozi wa US hapa Tz na wizara ya mambo ya nje huko US. Hizi za Tz na dunia nzima zilivujishwa na Mwanajeshi mmoja anaitwa Bradley Manning. Zinatokana na maongezi ya hao maofisa na watu mbali mbali akiwemo JK mwenyewe.

  Ni vigumu kusema kama ni za kweli au hapana kwa sababu kama nilivyosema nyingi zimetokana na maongezi. Kama waliongopewa, then the cables are lies, but otherwise MOST OF THEM ARE VERY ACCURATE AND PRECISE.
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  heeeeeeeee!.......umenuna ?
   
 14. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  asanteni sana wakuu kwa comment zenu za haja,..asanteni kwa elimu hii
   
Loading...