Re; When Lowassa meet Mizengo Pinda- TAFSIRI YA PICHA HII

Lowassa: Ee bana ee, mbona u-PM wewe umekaa sana?
Pinda: (huku akiinua mabega) Bongo hii braza! ulaji uliuchia mwenyewe!
 
Lowasa: Dogo unadhani kuwa PM ni mchezo si unaona wanavyokuvuruga mpaka umepauka!
Pinda: Ah, nilikuwa namheshimu Jakaya tu otherwise hii ngoma ningeitema mapemaaa. Maana hapa nahisi nimepungua uzito kama kilo 12 hivi.
 
Pinda+na+Lowasa.jpg
hii tai ya pinda nimeipenda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
<img src="http://2.bp.blogspot.com/-4NPNKZimsX0/TlZFuo57UZI/AAAAAAABtZc/UmBf1-XSeOU/s1600/Pinda+na+Lowasa.jpg" border="0" alt="" />
<br />
<br />
Uwaziri TZ ni raha si unanichabo nilivyo ng'aaaa nimekuwa handsome hadi mashori wanashoboka wenyewe.
 
iLowasa: asee Peter, tai umenunua wapi hiyo??!!!!
Pinda: shemeji yako Tunu alinunulia Zawadi nilivyomlipua Jairo..
 
Back
Top Bottom