Re; When Lowassa meet Mizengo Pinda- TAFSIRI YA PICHA HII

Mauza uza

JF-Expert Member
Jul 24, 2008
2,097
1,363
Pinda+na+Lowasa.jpg
 
Lowassa: wee Pinda ni kilaza nn?? imekuwaje mumrejeshe Jairo???
Pinda: Aaaah mkuu unakuwa kama huelewi michezo yote tunayocheza wakati wa bajeti???haya ni marudio tuu.
Lowassa: huuu sasa ni ulimbukeni mkuu!!!leo yupo kesho hayupo tuelewe nn sisi wananchi???
 
Pinda: Vipi bwana mkubwa, unaonaje bajei na serikali yetu?

Lowassa: Ah wapi vilaza nyie nisubirini 2015 muone!
 
Pinda: wakati ww ulikuwa unafanya kazi, mm sasa ninaongozwa na katibu mkuu kiongozi
Lowassa: kazi unayo, vp utajiuzulu kama zitto alivyojifananisha na ww
 
lowasa.we ni kilaza sana kama ni urafiki na huyo mkuu wa kaya sitaki pinda.poa me kilaza lakin sijihuzulu ngo wecha nile taratibu lowasa.wacha ujinga wew ndo maana sura kama mamba pinda wewe uoni hizo mvi kama majivu
 
Obe;2408016]Pinda: wakati ww ulikuwa unafanya kazi, mm sasa ninaongozwa na katibu mkuu kiongozi
Lowassa: kazi unayo, vp utajiuzulu kama zitto alivyojifananisha na ww

Pinda: Nijiuzulu! Aaah hiyo ngumu (Huku akinua mikono na mabega)
 
Pinda: wakati ww ulikuwa unafanya kazi, mm sasa ninaongozwa na katibu mkuu kiongozi
Lowassa: kazi unayo, vp utajiuzulu kama zitto alivyojifananisha na ww

Pinda: Nijiuzulu! Aahh hiyo itakua ngumu (Huku akinua mabega na mikono)
 
Lowassa: ww Pinda **** tu....huna maamuzi magumu ndo maana ukawa mtoto wa mkulima &""***&&^ kabisa.
Pinda:pouwa but mie sina jinsi jamaa analindwa na ******....si umeona mwenyewe luhanjo anaingilia tuu.
Lowassa: Wa*&^&*** wote hamjui mnalolifanya 2015 nakuja na nguvu zote ....tawafunga nyote nyie nyooooooooooooooo.
 
<b>Lowassa: </b>ww Pinda **** tu....huna maamuzi magumu ndo maana ukawa mtoto wa mkulima &amp;""***&amp;&amp;^ kabisa.<br />
<b>Pinda:</b>pouwa but mie sina jinsi jamaa analindwa na ******....si umeona mwenyewe luhanjo anaingilia tuu.<br />
<b>Lowassa: </b>Wa*&amp;^&amp;*** wote hamjui mnalolifanya 2015 nakuja na nguvu zote ....tawafunga nyote nyie nyooooooooooooooo.
<br />
<br />
kwani paw ameshalala au bd..
 
lowasa:Mh pm umetuangusha sana umeonekana bonge la kiazi kwa issue ya David?
Pinda:Mmmmmh,im inocent to that na ndo maana bunge limeunda kamati teule kama yako.
 
Back
Top Bottom