Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,847
- 10,054
Habari wakuu.
Ninaomba kama kuna mtu anafaham sehem ambayo wanatoa mafunzo ya Kuogelea.
Nina watoto aged 6 and 8 yrs na wote hawajui kuogelea kabisaaa.
Niliwahi kwenda Pale kwenye bwawa la chuo kikuu wakasema wao hawafundi watu kuanza kujua kuogelea.
Sasa kama kuna mtu anafaham wapi wanatoa mafunzo kwa watoto anifahamishe plzzz
Stay blessed