Acha tucheke..........kwikwikwi.
Uyo mtoto wa kusafisha choo kwa mswak wa dadii yake ni noumah..kwikwikwi
Uyo mtoto wa kusafisha choo kwa mswak wa dadii yake ni noumah..kwikwikwi
............ile ya kubanwa na viatu ! Chukulia unatembea kwa mguu huna pesa ya taxi wala ya Daladala ! Usipimeee!Hahahahaha nimeipenda hiyo ya faini ya kukojoa na mgonjwa na doctor. Nice ones.